1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi wa Messi wa Ballon d'Or katika jicho la mchambuzi

Babu Abdalla30 Novemba 2021

Nyota wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d'or mwaka huu 2021. Messi alihimili ushindani wa mshambuliaji Robert Lewandowski na Cristiano Ronaldo na kutuzwa mchezaji bora wa mwaka, hii ni mara yake ya saba kushinda tuzo hiyo. Babu Abdall amezungumza na mchambuzi wa soka Sekione Kitojo na hapa anatoa tathmini yake.

https://p.dw.com/p/43emC