1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usalama waimarishwa Marsabit kuelekea chaguzi Mkuu

Michael Kwena28 Julai 2022

Serikali ya kenya imetangaza kuwapeleka maafisa zaidi wa polisi kushika doria wakati wa uchaguzi katika jimbo la Marsabit ambalo limeshuhudia misukosuko ya kiusalama. Hakikisho hilo limetolewa wakati jeshi la polisi likiwa linaendelea na operesheni jimboni humo kutwaa silaha haramu. Sikiliza ripoti ya Michael Kwena kutoka Marsabit.

https://p.dw.com/p/4Eliw