1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Urusi yajiandaa kwa mashambulizi zaidi Ukraine

3 Januari 2023

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema wana taarifa kwamba Urusi inaandaa mashambulizi zaidi wa kutumia ndege aina ya shahid.

https://p.dw.com/p/4LfsV
Ukraine Donezk | Angriff auf russische Militär-Unterkunft nahe Makiiwka
Picha: RIA Novosti/SNA/IMAGO

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema wana taarifa kwamba Urusi inaandaa mashambulizi zaidi wa kutumia ndege aina ya shahid na kuongeza kwamba nia ya Moscow ni kupunguza mashambulizi ya kujihami ya vikosi vya Ukraine katika uwanja wa mapambano ikiwa ni miezi takriban kumi baada ya uvamizi wa Urusi. Amesema vikosi hivyo vinajaribu kuharibu mfumo wao wa kujihami wa anga na miundombinu ya nishati.

katika kile kinachotajwa ni fedheha kwa vikosi vya urusi majeshi ni kuuwawa kwa wanajeshi 63, baada ya shambulio la Ukraine katika kituo kimoja huko Denesk.