Wakati mvutano ukiendelea baina yake na nchi za magharibi kuhusu usalama wa Ukraine, Urusi inafanya mazoezi makali ya kijeshi katika taifa jirani na mshirika wake, Belarus. NATO na Ukraine wanasema mazoezi hayo ni kitisho kwa usalama wa Ulaya, shutuma zinazokanushwa na Urusi. #Kurunzi