1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urusi yaendelea kushambulia miji ya Ukraine kwa makombora

17 Oktoba 2022

Urusi imeendeleza mfululizo wa mashambulizi ya makombora katika miji mbalimbali kote nchini Ukraine ukiwemo mji mkuu Kiev. Mkuu mpya wa shirika la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa Volker Turk amesema muendelezo wa machafuko hayo unawatia wasiwasi mkubwa. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4IHZi