1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upopulisti, mitandao na demokrasia

31 Januari 2024

Kwenye wasaa huu wa Kinagaubaga, Mkurugenzi wa Tafiti na Mikakati wa shirika la Twaweza nchini Tanzania, Baruani Mshale, anafafanuwa jinsi siasa za upopulisti zinavyoshika kasi ulimwenguni - na makhsusi kabisa barani Afrika - na jinsi zilivyo hatari kwa mafanikio haba yaliyopatikana kwenye demokrasia na haki za binaadamu barani humo.

https://p.dw.com/p/4bJHz