1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani: uchaguzi Tanzania umekubwa na dosari chungu nzima

28 Oktoba 2020

Vyama vikuu vya upinzani vya Chadema na ACT Wazalendo vimedai kwa kiasi kikubwa mawakala wao ama walitolewa nje au hawakuruhusiwa kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura hivyo kushindwa kushuhudia kikamilifu mchakato huo. Miongoni mwa walalamikaji ni Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo. Sikiliza mahojiano haya aliyofanyiwa na Lillian Mtono.

https://p.dw.com/p/3kYQV