1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Burundi walalamikia wizi wa Kura na udanganyifu

22 Mei 2020

Katika Afrika wiki hii: Upinzani nchini Burundi wayakataa matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu ukidai ni kiinimacho. Rais John Magufuli wa Tanzania atangaza kufungua vyuo Juni 1 na kuruhusu shughuli za michezo licha ya wasiwasi wa kusambaa Covid-19 na mafuruko yawatesa maelfu ya wakaazi wa Tana River Kenya na Mashariki mwa DRC. Sikiliza Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3cd6v