1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya wasitisha maandamano ya kuipinga serikali

Shisia Wasilwa4 Mei 2023

Muungano wa upinzani nchini Kenya wa Azimio, umesitisha maandamano yake yaliyopangwa kufanyika leo Alhamisi, ukisema wenzao wa upande wa serikali ya Kenya Kwanza wamekubali moja ya masharti yao kwenye mazungumzo ya mapatano. Hatua ya kusitisha maandamano ni ahueni kwa wafanyabiashara wengi pamoja na Wakenya kwa jumla.

https://p.dw.com/p/4Qt6R