1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upimaji wa VVU Tanzania

13 Julai 2018

Hivi ni kweli wanaume huko nchini Tanzania mna uwoga ama ni wazito kupima afya zenu? Na vipi kuhusu hii kampeni ya kupima Ukimwi iliyoanzishwa na serikali, na nyie mkilengwa zaidi? Hebu tushirikishane hapa. Ni wanaume tu ama ni jamii kwa ujumla?

https://p.dw.com/p/31OUj