1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi mustakabali wa IEBC baada ya Raila kuelekea mahakamani?

Hawa Bihoga22 Agosti 2022

Kufuatia hatua ya muungano wa Azimio la Umoja kuwasilisha shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais, Hawa Bihoga amezungumza na Joy Mdivo ambaye ni wakili na Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki Afrika kuhusu hatma ya tume huru ya uchaguzi na mipaka ya IEBC.

https://p.dw.com/p/4Fsqb