1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unyanyasaji wa kingono wa wanahabari wanawake

Hawa Bihoga22 Septemba 2021

Wapo mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya wengine, kuhakikisha haki zao zinatamalaki na kuwa na jamii ilio salama. Ukweli unsioujua, mioyo yao imechoka dhidi ya unyanyasaji za kingono wanazopitia kutoka kwa watu wanaokutana nao kila siku katika mazingira ya kazi. Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia madhila hayo yanayowakumba waandishi habari wa kike.

https://p.dw.com/p/40dxB