1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Union Berlin waendeleza maajabu Bundesliga

Josephat Charo
31 Oktoba 2022

Union Berlin warejea kileleni mwa ligi. Marcus Rashford aweka rekodi kwa kufunga bao la 100 kwa klabu yake Manchester United. Leroy Sane kurejea katika kikosi cha Bayern kuvaana na Inter katika ligi ya mabingwa wa Ulaya. Wekundu wa Msimbazi Simba wamaliza ukame wa kutoshinda mechi katika ligi kuu ya soka Tanzania bara.

https://p.dw.com/p/4ItVu