1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unamkumbuka vipi Oliver Mtukudzi

25 Januari 2019

Oliver Mtukudzi ni miongoni mwa wanamuziki 10 waliowahi kutajwa na jarida maarufu la Forbes kuwa msanii tajiri barani Afrika akifafanishwa pia na wanamuziki kama Salif Keita na Youssour Ndour.Mwanamuziki huyo wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 66.Ungana na Saumu Mwasimba katika karibuni usikie jinsi mwanamuziki huyu anavyoenziwa na mashabiki zake

https://p.dw.com/p/3C9bF