1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN yasaidia AU na NEPAD

5 Novemba 2007

Wajumbe wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wanakutana leo na kesho pamoja na wawakilishi wa Umoja wa Afrika na NEPAD ili kutafuta njia za kuyasaidia mashirika haya ya Kiafrika.

https://p.dw.com/p/C7fE
Kujenga barabara Kusini mwa Sudan
Kujenga barabara Kusini mwa SudanPicha: UNMIS/John Charles

Kauli mbio ya mkutno huu ni “Ujenzi mpya baada ya migogoro – juhudi za Umoja wa Mataifa katika Sudan ya Kusini, Burundi na Sierra Leone”. Kutoka Addis Abeba, Anaclet Rwegayura ametutumia ripoti ifuatayo.