1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN yaonya juu ya kushambuliwa Idlib

12 Septemba 2018

Katibu mkuu wa UN Antonio Guterres ameionya Syria na washirika wake Urusi na Iran juu ya kuishambulia ngome ya waasi iliyobakia ya Idlib akisema eneo hilo halipaswi kugeuzwa uwanja wa kumwaga damu

https://p.dw.com/p/34k57