1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN yaondoa vikwazo vya silaha na huduma za kijeshi DRC

Jean Noel Ba Mweze21 Desemba 2022

Azimio la Umoja wa Mataifa la kuondoa vikwazo vya silaha na huduma za kijeshi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mpango wa Ufaransa, ambayo pia ilihamasisha kupitishwa kwa azimio hilo kwa kauli moja katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/4LGoV