1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN: Kuna hofu ya maafa Idlib

6 Septemba 2018

Umoja wa Mataifa wahofia kutokea maafa zaidi katika jimbo la Idlib nchini Syria katika kipindi hiki ambacho mamia ya wakaazi wanalihama eneo hilo, kuhofia maisha yao.

https://p.dw.com/p/34Q1w
Syrien, Idlib: Kinder laufen in einem provisorischen Unterschlupf in einer unterirdischen Höhle
Picha: Reuters/K. Ashawi