1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa ushauri kwa vijana

Bruce Amani Alakonya1 Machi 2016

Kwa kila kijana kuna haja ya kuwa na mtu wa karibu maishani anayeweza kukusaidia katika kukupa mwongozo wa maisha. Mtu huyu hufahamika katika kiingereza kama Mentor au coach. Sikiliza vijana wakilijadili suala hili.

https://p.dw.com/p/1I4dk