1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Umuhimu wa Makumbusho

12 Aprili 2018

Makumbusho ni maeneo maalum ambapo historia ya kale huhifadhiwa. Lakini je watu wanatambua umuhimu wa makumbusho? Je wanayathamini makumbusho kwa kiwango gani? Katika makala ya Utamaduni na Sanaa, John Juma anatafutia maswali hayo majibu kwa kushirikisha kauli za wataalamu kutoka Kenya na Tanzania.

https://p.dw.com/p/2vtyT