1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Umuhimu wa "bar code" kwa biashara Tanzania

Ahmad Juma25 Mei 2017

Bar code ama msimbomilia zinazotumika kwenye bidhaa kuruhusu kuingia kwenye soko la kitaifa na kimataifa. Fatma Kange Saleh, mkuu wa taasisi ya kusimamia bar code amezungumza na DW na anashiriki kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo kuonyesha kwamba wanawake wakipata fursa ya kuongoza huzichangamkia.

https://p.dw.com/p/2dZOn
Fatma Kange Saleh, mwanzilishi wa bar code Tanzania
Fatma Kange Saleh, mwanzilishi wa bar code TanzaniaPicha: DW/A.Juma