1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Ulaya yatambulisha pendekezo la Brexit

Josephat Charo 6 Machi 2018

Kiongozi mkuu wa mazungumzo kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, Michel Barnier, amezindua rasimu ya kwanza ya makubaliano ya kisheria ya umoja huo na Uingereza. Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameitisha ushirikiano wa karibu zaidi na Umoja wa Ulaya baada ya Brexit, akiweka malengo yake ya makubaliano yatakayoafikiwa kwa majadiliano huru na mipangilio mipya ya utaratibu wa kisheria.

https://p.dw.com/p/2tl1D