1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umewahi kujifunza kupitia vikaragosi?

28 Novemba 2022

Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana ni mojawapo ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu duniani kote. Wadau na mashirika mbalimbali yanahimiza kwa njia tofauti usitishwaji wa ukiukaji wa haki hizo...Je umewahi kuona shinikizo hili kwa njia ya sinema za vikaragosi? Unadhani njia inaleta tija yoyote?

https://p.dw.com/p/4KAnj