1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulinganisho wa elimu katika nchi tatu za Afrika

Sylvia Mwehozi
15 Juni 2021

Nchi tatu, mifumo tofauti ya elimu. Waandishi wa DW wa Uganda, Zimbabwe na Nigeria wanaelezea faida na hasara za mifumo yao ya elimu kwenye nchi zao. Je unauonaje mfumo wa elimu wa nchini mwako? #vijanamubashara #77asilimia

https://p.dw.com/p/3uxqS