1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukuzaji wa Filamu na Sanaa Uganda

24 Juni 2021

Sekta ya filamu ni moja kati ya zinazoweza kuwaajiri vijana wengi ikitumiwa vizuri. Aidha hukuza vipaji vya waigizaji, huhifadhi utamaduni na kuweza kutumiwa kunadi tamaduni, vivutio vya watalii miongoni mwa mengine. Lakini je, ni juhudi zipi zinafanywa Uganda kukuza sekta hiyo? Lubega Emmanuel anasimulia. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3vW47