1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukuaji wa miji, umasiki na makazi duni Afrika Mashariki

Josephat Charo9 Januari 2017

Je unajua ni nini hasa kinachangia kuwepo kwa ongezeko la uhaba wa nyumba ama makazi duni kwenye maeneo ya mijini, hususan huko kwetu afrika Mashariki? Sikiliza makala haya ya Meza ya Duara, usikie chanzo, changamoto na athari zake kwa maisha ya kila siku.

https://p.dw.com/p/2VVOA