1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukosefu wa usalama Mashariki mwa Kongo

3 Agosti 2022

Katika makala yetu leo Benjamin Kasembe anaangazia vita vilivyozuka upya kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kundi la waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru miezi miwili iliyopita, vita vilivyopelekea baadhi ya viongozi kuwataka vijana kujiunga na jeshi kukabiliana na waasi kama M23 kundi linalotuhumiwa na serikali ya mjini Kinshasa kupata usaidizi wa nchi jirani ya Rwanda.

https://p.dw.com/p/4F4bT