1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukeketaji wa wanawake ni uvunjaji wa haki za binaadamu

30 Novemba 2011

Mila ya kuwakeketa wanawake inayofuatwa na baadhi ya jamii ulimwenguni inaelezwa kuwa ni aina moja ya udhalilishaji na uvunjaji wa haki za kibinaadamu za wanawake unaohatarisha pia maisha yao.

https://p.dw.com/p/13Jwy
Kampeni ya kupinga ukeketaji dhidi ya wanawake.
Kampeni ya kupinga ukeketaji dhidi ya wanawake.Picha: DW

Salma Said anazungumzia mila ya ukeketaji wanawake katika makabila na imani tafauti za kidini, ingawa anahoji kwamba mila hiyo si sehemu ya dini yoyote ile ulimwenguni.

Makala: Salma Said
Mhariri: Othman Miraji