1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukatili wa kingono katika vita vya Sudan

8 Agosti 2024

Mbiu ya Mnyonge hivi leo inalia na mama, dada na binti wa Sudan wanaoandamwa na kivuli cha ukatili wa kingono katikati mwa balaa la vita. Mtayarishaji ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4jFIK