1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukatili wa kijinsia waongezeka nchini Kenya

Shisia Wasilwa16 Aprili 2020

Visa vya dhulma za kijinsia vimeongezeka mara tatu zaidi mnamo miezi ya hivi karibuni nchini Kenya ikilinganishwa na kipindi sawa na hiki mwaka uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa wizara ya Afya. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/3azVs