1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukata wa maji Syria

25 Agosti 2020

Huko kaskazini mwa Syria, mzozo kati ya taifa hilo na Uturuki umeendelea kuchukua sura mpya ambapo sasa huduma muhimu ya maji imekatwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo, na kuwaacha raia katika taabu kubwa ya maji. Kurunzi 25.08.2020

https://p.dw.com/p/3hUox