1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wawasili mjini Kinshasa

Bamweze10 Machi 2023

Ziara hiyo ni muhimu kwani inajiri siku nne tu baada ya kushindwa kwa utekelezwaji hatua ya kusitisha vita baina ya jeshi la Kongo (FARDC) na waasi wa M23 ambao Kinshasa inawataja kuwa magaidi na ambao Umoja wa mataifa tayari umetambua wanaungwa mkono na Rwanda. Baraza la Usalama halijaitembelea Kongo tangu mwaka 2018.

https://p.dw.com/p/4OWl2