1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumbe wa Baraza la Usalama la AU ziarani Burundi

Amida Issa (HON)22 Juni 2022

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Afrika wako ziarani Burundi ambako tayari wamekutana kwa mazungumzo na rais Evariste Ndayishimiye. Kiongozi wa Ujumbe huo Daniel Owassa amesema Burundi ni nchi iliyopitia nyakati ngumu na kufaanikiwa kuondoka vitani hivyo lazima kuwepo juhudi za kuhamasisha umma kuzuia kurudi kwa tena vurugu.

https://p.dw.com/p/4D5Gn