1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiUjerumani

Ujerumani yawashitaki watu 27 kuhusika na njama za uhaini

12 Desemba 2023

Waendesha mashitaka wa serikali nchini Ujerumani wamesema wamewafungulia mashitaka watu 27 wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la mrengo mkali wa kulia

https://p.dw.com/p/4a5Ur
Generalbundesanwalt beim Bundesgerichtshof in Karlsruhe
Je ya jengo la Mahakama Kuu UjerumaniPicha: Arnulf Hettrich/IMAGO

 watuhumiwa hao walikamatwa mwaka uliopita kwa kujihusisha na mpango wa kulishambulia bunge na vilevile kwa kutaka kuipindua serikali. 

Soma pia:Chama cha CDU chataka hatua kali dhidi ya uhamiaji Ujerumani

Katika taarifa yao ya pamoja waendesha mashitaka hao wamesema walioshitakiwa wanashukiwa kwa kiwango kikubwa kuwa wanachama wa mashirika ya kigaidi na pia wanahusika katika kupanga njama za uhaini.