1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaelemewa na mzigo wa wahamiaji

Hawa Bihoga
7 Machi 2024

Majimbo ya nchini Ujerumani yanahisi kuhemewa na mzigo wa maelfu ya wakimbizi, kuanzia katika kuwaajiri, chakula, makaazi shule.Pia kuna hofu kwamba hasira miongoni mwa wapiga kura juu ya masuala ya uhamiaji inaweza kuvisaidia vyama vya mrengo mkali wa kulia katika uchaguzi wa baadae mwaka huu, huku serikali ya Kansela Olaf Scholz ikiwa katika shinikizo la kushughulikia masuala ya wakimbizi.

https://p.dw.com/p/4dGGY