1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani: Rasimu ya kuwarudisha watu katika mataifa yao

Hawa Bihoga
26 Oktoba 2023

Baraza la mawaziri la Ujerumani limeidhinisha rasimu ya sheria inayolenga kuharakisha mchakato au taratibu za kuwarudisha watu wasio na haki ya kuishi Ujerumani, katika nchi zao.

https://p.dw.com/p/4Y4d0