1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kukwaana na England ligi ya mataifa ya Ulaya

Josephat Charo
6 Juni 2022

Ujerumani itakwaana na England katika mechi ya kombe la ligi ya mataifa ya Ulaya Jumanne (07.06.2022). Cologne na Freiburg zajinoa kwa msimu mpya wa Bundesliga. Bao la kujifunga mwenyewe nahodha Andriy Yarmolenko laizima ndoto ya Ukraine kufuzu kwa kombe la dunia nchini Qatar. Rafa Nadal ashinda taji la French Open.

https://p.dw.com/p/4CKmw