1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kuchukua wahamiaji wengine 1,500 waliokwama Ugiriki

15 Septemba 2020

Shirika la habari la dpa limesema kwamba Kansela Angela Merkel na Waziri wa Mambo ya Ndani Horst Seehofer wamekubaliana kuwachukuwa wakimbizi hao walioko kwenye visiwa vya Ugiriki, kufuatia shutuma kwamba serikali ya Ujerumani haijachukuwa hatua kubwa kuwasaidia wakimbizi hao ambao kambi yao iliteketea kwa moto.

https://p.dw.com/p/3iUa7