1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kuanza kombe la EURO na Scotland

10 Juni 2024

Ujerumani yajiandaa kukwaana na Scotland mechi ya ufunguzi wa mashindano ya kombe la EURO 2024 Ijumaa usiku. Kikosi cha Scotland chawasili Ujerumani. Ufaransa yazuiwa sare na Canada mechi ya mwisho ya kirafiki kuelekea kombe la Euro. Rwanda kumenyana na Lesotho mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia 2026.

https://p.dw.com/p/4gsfH