1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhusiano baina ya miji dada ya Hamburg na Dar es Salaam

Harrison Mwilima/MMT10 Desemba 2021

Katika Makala ya Sura ya Ujerumani tunaangazia uhusiano kati ya jiji la Hamburg na Dar es Salaam katika muktadha wa mkutano wao wa pili wa kujadili ushirikiano huo ulifanyika mwezi huu wa kumi na mbili mtandaoni. Mwandaaji na msimulizi wako ni Harrison Mwilima wa DW Berlin.

https://p.dw.com/p/445eS