1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, uhamiaji ni tishio kwa Ujerumani?

12 Oktoba 2023

Vyama vya mrengo wa kulia nchini Ujerumani vinaona uhamiaji kama tishio. Lakini wageni ni muhimu kwa soko la ajira na uchumi wa Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4XTCJ