1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhamiaji Tanzania watoa ufafanuzi suala la raia kwenda nje

6 Agosti 2018

Idara ya Uhamiaji ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha kuwazuia raia wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi kwa kuongeza udhibiti na uhakiki wa nyaraka zinazothibitisha ajira na ukaazi wao kwenye mataifa hayo ya kigeni, baada ya kusambaa ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani wa taifa hilo la Afrika Mashariki akitaka pawepo udhibiti mkali dhidi ya Watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje.

https://p.dw.com/p/32hIT