1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhai wa mto Nile na migogoro kutokana na maji yake

Anuar Mkama12 Aprili 2022

Mto Nile ndio mto mkubwa zaidi duniani,maji yake yamekuwa yakitumika katika kustawisha maendeleo katika mataifa ambayo mto huo umepita, je mataifa hayo yanaulinda vipi mto huo. Sikiliza makala hii ya kinagaubaga na Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/49qbg