1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa mafuta ya Petroli waitesa Burundi

4 Novemba 2021

Burundi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa petroli, ambapo katika mji mkuu Bujumbura kunashuhudiwa milolongo mirefu ya magari kwenye vituo vya kuuza mafuta, hali ambayo tayari imezorotosha shughuli mbali mbali jijini humo. Serikali imekiri kwamba haina akiba yoyote ya mafuta kutokana na uhaba wa fedha za kigeni. Sikiliza ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura.

https://p.dw.com/p/42ZL0