1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugonjwa wa Kisukari kwa watoto wadogo

Tatu Yahya2 Mei 2022

Afya yako inaangazia maradhi ya kisukari kwa watoto wadogo walio kati ya umri wa wiki sita hadi miaka 17. Ni maradhi ya kudumu yanayotegemea tembe au sindano ili kustawisha afya na wala si maradhi ya kuambukiza, ungana na Tatu Yahaya.

https://p.dw.com/p/4Aicx