1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yamuachilia huru mwanaharakati Nicholas Opiyo

Lubega Emmanuel14 Septemba 2021

Hatua ya kuondolewa kwa mashtaka ya utakatishaji fedha dhidi ya mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu Uganda Nicholas Opiyo imepokelewa kwa maoni mbalimbali na jumuiya ya wanasheria. Kwa mtazamo wao, tangu mwanzo kesi hiyo ilionekana kuwa na ushahidi potofu ambao haungempelekea mwanasheria huyo kuhukumiwa. Sikiliza ripoti yake mwandishi wetu Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/40JxQ