1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Uganda yaadhimisha sikukuu ya Idd ul Adha

28 Juni 2023

Jumuiya ya Waislamu Uganda imeadhimisha sikukuu ya Idd ul Adha huku viongozi wa dini hiyo wakihimiza amani na uthabiti wa kiuchumi ili kuondokana na mazingira ya sasa ya kuwahujumu na kuwanyanyasa raia kisheria na kimapato. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4TAlE