1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Mwanamke wa miaka 37, mwenye watoto 38

19 Mei 2017

Hadithi ya mwanamke wa Uganda mwenye umri wa miaka 37, aliyezaa watoto 38, na kisa cha mti kuzungumza ukikataa kukatwa huko Mwanza vitazungumziwa kwenye Umeipata hiyo? Lakini pia usikose kusikiliza makala nzima ya Karibuni inayoruka Jumamosi saa 11 za jioni.

https://p.dw.com/p/2dE6U