1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi juu ya kuundwa kundi la uasi la pamoja Burundi

Daniel Gakuba24 Desemba 2015

Serikali ya Burundi imesema muungano mpya wa waasi uliotangazwa jana kwa jina la FOREBU, hautafua dafu na kwamba utaangamizwa bila kukawia. Deutsche Welle ilizungumza na Halidi Hassan, mchambuzi wa kisiasa na kumuuliza kinachojulikana hadi sasa kuhusu kundi hilo.

https://p.dw.com/p/1HSkW