1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: Je wanajeshi Afrika wameingiwa uchu wa madaraka?

John Juma2 Februari 2022

Kumekuwa na mapinduzi kadhaa barani Afrika hasa magharibi mwa bara hilo kuanzia mwaka 2021. Kisa cha hivi karibuni zaidi kikiwa ni Burkina Faso pamoja na jaribio lililoshindwa nchini Guine Bissau. Katika uchambuzi huu John Juma ameanza kwa kumuuliza mchambuzi wa siasa kutoka Burundi Ali Mali ikiwa majenerali wa kijeshi barani Afrika wameingiwa uchu wa madaraka au kuna masuala yepi yanayochochea?

https://p.dw.com/p/46QOd